Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba amemkabidhi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi Richard Abwao Matairi mapya manne kwa ajili ya gari yake.
Matairi hayo yamegharimu fedha za Ki Tanzania Milioni tatu.
Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo Mjini Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa