Katika kuelekea Agosti 23 ambayo ndo siku ya Sensa ya Watu na makazi, Timu ya Uwezeshaji wa zoezi hilo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mapema leo imeendesha kikao kazi cha Kuwajengea uwezo kamati za sensa za Kata uhamasishaji wa zoezi la Sensa na maandalizibya ufanikishaji wa zoezi la sensa kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa