Wawezeshaji wa mfumo wa Upimaji wa utendaji kazi kwa Watumishi wa Umma "PEPMIS" kutoka Wizara ya Utumishi na Vinara wa Mfumo (Champions) wameendesha mafunzo ya Mfumo huo kwa Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama na Taasisi za UMMA zilizopo ndani ya Manispaa ya Kahama.
Mafunzo hayo yamelenga kipengele cha Utekelezaji Na ufuatiliaji, Tathmini ya utendaji kazi "Assessment" Utatuzi Wa Changamoto mbalimbali za Mfumo, Maelekezo ya kuandaa mpango Wa Mwaka Ujao Wa Fedha.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa