Ujenzi wa shule mpya ya Sekondari kwenye Kata ya Kagongwa unaendelea vizuri. Ujenzi huu unajumuisha madarasa 9, jengo la Maabara, jengo la Kompyuta na Vyoo.
Mradi huu unagharamiwa kutokana na fedha kutoka serikali kuu, na jumla ya Shilingi za Kitanzania milioni mianne na sabini tayari zimeshapokelewa.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa