Timu ya Ukaguzi wa ujenzi wa Vituo vya afya yaridhishwa na ujenzi Kituo cha Afya Iyenze Kilichopo Halmashauri ya Mji wa Kahama. Timu hiyo imefika mapema leo ikiongozwa na Dkt. Athumani Pembe kutoka Ofisi Ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa akiambatana na Timu ya Mkoa. Aidha timu hiyo imeshauri kituo kianze kutoa huduma kabla ya wiki ya kwanza ya Julai kwani asilimia kubwa ya mahitaji yamekamilka.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa