Hatimae Halmashauri ya Mji wa Kahama imefunga Mkataba na Suma JKT wa kufanya ujenzi wa hospitali ya kisasa ya Mji. Mkataba huo umefungwa mapema leo kwa pande zote mbili kutia saini kumaanisha kukubaliana na kazi hiyo.
Ujenzi huu ambao kwa awamu ya kwanza unaanza na jengo la OPD unatarajiwa kugharimu Shilingi za ki-Tanzania Bilioni 3.2 na unatarajiwa kukamilika Miezi 18 baada ya tarehe ya kuanza ujenzi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa