Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeonesha dhamira ya kuwekeza ndani ya Manispaa ya Kahama. Katika kudhihirisha hilo leo timu ya Shirika hilo imetembelea na kuongea na Viongozi wa Halmashauri juu ya nia yao ya kuwekeza ndani ya Kahama.
Mazuri yanakuja.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa