Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Ndg. Albert Msovela amezindua mafunzo ya TASAF kwa wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Mji Kahama.
Mafunzo haya yamelenga Mwongozo wa mpango wa kuweka akiba na kukuza uchumi wa Kaya lengwa za mradi wa TASAF awamu ya tatu.
Pia Ras amesisitiza wataalamu hasa wa Kilimo na mifugo na Maendeleo ya jamii kutokukaa maofisini na kwenda vijijini kuwahudumia wananchi.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa