• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Usafirishaji
    • Sekta ya Utamaduni
    • Sekta ya Biashara
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Maliasili
    • Sekta ya Mawasiliano
    • Sekta ya Mazingira
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Ofisi mpya ya Kata ya Busoka yazinduliwa, Wadau washiriki ujenzi

Imewekwa: September 23rd, 2022

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Ndg. Anderson Msumba mapema leo amezindua ofisi mpya ya Kata ya Busoka ambayo imejengwa kwa Ushirikiano wa Halmashauri na Wadau wake wa Maendeleo. 

Akizindua Ofisi hiyo, Msumba amewataka wadau wa Maendeleo kutochoka kujitoa kwaajili ya Maendeleo ya Kahama. Aidha amewaasa wataalamu wa Kata hiyo kuitumia ofisi hiyo kuboresha huduma kwa Wananchi kwani Wananchi ndo Waajiri wa Watumishi. Pia amewataka Watendaji wa Kata kuiga Mfano wa Mtendaji wa Busoka Bi. Halima kwa kuwashirikisha wadau katika mambo ya Maendeleo.

Katika hatua nyingine Msumba na timu ya Wataalamu wa Halmashauri aliyoongozana nayo wametoa Milioni tano kwaajili ya kuanza ujenzi wa Uzio wa ofisi hiyo.

Jumla ya Shilingi za Ki-Tanzania Milioni 60.2 zimetumika kujenga ofisi hiyo ya Kata pamoja na Choo. 







Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO December 12, 2017
  • Muhtasari wa Bajeti ya Halmashauri ya Mji wa Kahama 2018/2019 October 10, 2018
  • Mapato na Mtumizi kufikia Machi 31, 2019 April 15, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Hatua iliyopo Ujenzi wa Vyumba 4 vya Madarasa Sekondari ya Nyasubi

    November 05, 2022
  • Hatua iliyopo ya Ujenzi wa Vyumba 3 vya madarasa Sekondari ya Anderson Msumba

    November 05, 2022
  • Wanamichezo wafanyiwa hafla

    November 05, 2022
  • Hatua iliyopo Vyumba 10 vya madarasa Sekondari ya Nyashimbi

    November 04, 2022
  • Angalia zote

Video

Maagizo ya Katibu Mkuu Kiongozi kwa Watumishi wa Umma
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa