Sera ya "Elimu bure" imeonesha mafanikio Halmashauri ya Mji Kahama. Haya yamesikika kwenye risala iliyosomwa kwa mgeni rasmi mapema leo katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya elimu Mji wa Kahama yaliyofanyika katika viunga vya ofisi ya Halmashauri ya Mji Kahama. Maelezo haya yanabainisha kuwa hii ni kutokana na kuwepo kwa mwitikio mkubwa wa wazazi kujitokeza kuandikisha watoto zao. Taarifa imesema kwamba hii sera imetoa lile tabaka la wenye uwezo na wasio na uwezo, imeleta usawa baina ya wananchi.
Taarifa pia imebainisha kuwa changamoto kubwa kwasasa ni miundombinu ikiwemo upungufu wa Madarasa.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa