Kamati ya kusimamia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto "MTAKUWWA" ngazi ya Halmashauri kwa Manispaa ya Kahama imekutana kwenye kikao kazi cha kujadili na kukumbushana Majukumu yao katika kutekeleza mpango huo.
Kikao kazi hiko ni cha Siku mbili kuanzia Tarehe 2-3 Septemba, 2022 kikiwa kimewezeshwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika "WiLDAF TANZANIA"
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa