Kamati ya fedha na Utawala Halmashauri ya Manispaa ya Kahama leo imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kabla ya kufanyika kwa kikao cha kawaida cha kamati hiyo kwa robo ya kwanza Julai_Septemba. Katika ziara hiyo Kamati imepongeza kasi ya ujenzi wa madarasa ya kuwapokea kidato cha Kwanza 2023. Wamewataka wataalamu kuendelea na kasi hiyo ili kukamilisha kwa wakati.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa