Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Anamringi Macha amekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho kilele cha siku kumi na sita za kupinga ukatili yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bwalo la Polisi Halmashauri ya Mji wa Kahama.
Katika maadhimisho hayo Mhe. Macha amewaasa wananchi kusimamia sheria zinazowalinda wanawake na watoto ili kuleta usawa katika jamii.
Pia amemtaka kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie katika kusimamia haki za watoto na wanawake.
Baadhi ya Picha za tukio hilo hizi hapa:
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa