Chanjo ya Kuzuia Saratani ya Shingo ya uzazi kwa mabinti kati ya Umri wa miaka 9 hadi 14 imeanza kutolewa leo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
Akizindua zoezi hilo Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita amewataka Viongozi wa dini kuwa Mabalozi wazuri katika kuitangaza chanjo hii na kuwahakikishia waumini wao kuwa chanjo ni salama na haina madhara yoyote kwa wanaopatiwa. Chanjo hii imeanza kutolewa leo na itaendelea kutolewa mpaka Tarehe 28 April, 2024.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa