Halmashauri ya Mji Kahama imeshika nafasi ya nne kati ya Halmashauri 185 za Tanzania katika ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2016.
Imepanda kwa nafasi moja ukilinganisha na Matokeo ya 2015 ambapo ilikuwa ya tano.Kuona orodha hiyo bonyeza hapa Ufaulu wa Halmashahuri.
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa