• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Habari
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

Baada ya Siku 3 kuongezwa: Msimamizi wa Uchaguzi Kahama awaasa wananchi kujiandikisha

Imewekwa: October 13th, 2019

Wana Kahama wametakiwa kutumia muda ulioongezwa wa siku tatu kwa ajili ya  kujiandikisha katika orodha ya daftari la  wapiga kura ili kuweza kupata haki yao ya msingi ya kikatiba ya kugombea na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika 24 Novemba ,2019.

Hayo yamebainishwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Ndg. Stephen Magala leo mara baada ya Tamko la kuongezwa kwa siku za uandikishaji lililotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo.

"Kuongezwa kwa Siku 3 za uandikishaji wapiga kura ni fursa muhimu sana kwa Wananchi wote ambao bado hawajajiandikisha katika Daftari la Orodha ya Wapiga kura aidha kutokana na kutingwa na shughuli zao mbalimbali au kuchanganya zoezi hili na lile la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura lililomalizika tarehe 26/09/2019 Wilayani Kahama. Wananchi ndio chimbuko la Mamlaka  ya Utawala wa Nchi yetu ya Tanzania, hii ni kwa Mujibu wa Ibara ya 8 (1) (a)  ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani ya Mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho. Kupitia Uchaguzi Wananchi hukasimisha Mamlaka yao kwa Viongozi ili wawawakilishe katika maamuzi mbalimabli ya kutatua changamoto zao mbalimabli ili kujiletea maendeleo. Ni haki kila Mwananchi mwenye sifa kujiandikisha ili apate haki ya kukasimisha Mamlaka yake kwa Viongozi anaowaamini. Shiriki katika Uchaguzi ili kufanya Uamuzi sahihi wa kupata Viongozi watakao kuletea maendeleo usije baadaye kulalamika na haki ya kuchagua umejinyima mwenyewe kwa kutojiandikisha. Mwananchi yeyote timamu Hawezi chezea fursa hii ambayo hujitokeza baada ya miaka 5.Chukua hatua, Fanya maamuzi sahihi upate kushiriki kuchagua Vioongozi bora kwa maendeleo yako" Amesema Magala.

Matangazo

  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO June 03, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Nafasi za Ajira za Muda

    June 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

    May 14, 2025
  • Kanuni za Maadili za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025

    April 19, 2025
  • Uboreshaji Awamu ya Pili wa Daftari la Mpiga Kura kuanza Mei Mosi

    April 16, 2025
  • Angalia zote

Video

Ufafanuzi wa Mikopo ya Asilimia Kumi Manispaa ya Kahama
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • MFUMO WA KUWASILISHA MALALAMIKO
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Tovuti ya Ikulu

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa