• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Kahama Town Council
Kahama Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kahama

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango, Uchumi na Takwimu
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Kilimo
    • Sekta ya Viwanda
    • Sekta ya Mifugo
    • Sekta ya Uvuvi
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Usafirishaji
    • Sekta ya Utamaduni
    • Sekta ya Biashara
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Maliasili
    • Sekta ya Mawasiliano
    • Sekta ya Mazingira
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Usafi na Mazingira
    • Maendeleo ya Jamii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
  • Miradi
    • Miradi iliyopitishwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria
      • Sheria ndogo za mazingira
      • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Tozo za Leseni za Biashara
    • Fomu
    • Miongozo
    • JOINING INSTRUCTIONS 2020/2021
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari

RC akerwa na Suma JKT ujenzi wa Hospitali

Imewekwa: May 15th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainabu Telack ameonesha kutoridhishwa na kasi ya Suma JKT kwenye ujenzi wa jengo la Hospitali ya Mji wa Kahama. Hayo yamebainika mapema leo alipokuwa kwenye ziara yake ya kazi ya kukagua Maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Halmashauri ya Mji wa Kahama. 

Akiwa kwenye eneo hilo la ujenzi amekuta hakuna kazi yoyote inayoendelea na alipouliza mmoja wa wasimamizi wa ujenzi huo amesema kuwa ujenzi umesimama kwa kukosekana kwa vifaa na fedha. 

Aidha kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Kahama Ndg. Anderson Msumba amesema kuwa wao kama Halmashauri wameshatoa hela kwa Suma JKT za kuendelea na ujenzi huo ila anashangazwa kuona ujenzi umesimama. 

Ujenzi huo wa Jengo la Wagonjwa wa nje Hospitali ya Mji wa Kahama ulitakiwa kukamilika tangu mwezi Februari 2020 ambapo Suma JKT wakaomba kuongezewa Muda wakiahidi hadi Juni 2020 ujenzi utakuwa umekamilika kitu ambacho hakitawezekana kwani ujenzi bado umesimama. 

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 December 30, 2020
  • INGIA HAPA KUPATA SALARY SLIP YAKO December 12, 2017
  • Muhtasari wa Bajeti ya Halmashauri ya Mji wa Kahama 2018/2019 October 10, 2018
  • Mapato na Mtumizi kufikia Machi 31, 2019 April 15, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Wadau wa Maendeleo Kahama wakutana kujadili changamoto

    December 22, 2020
  • Madiwani wapya Kahama wapigwa Msasa

    December 11, 2020
  • Baraza jipya la Madiwani Kahama wapatiwa viapo vya uadilifu

    December 10, 2020
  • Wananchi waamua kujenga Barabara, Mkurugenzi awaunga Mkono

    December 07, 2020
  • Angalia zote

Video

Maagizo ya Katibu Mkuu Kiongozi kwa Watumishi wa Umma
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

  • Picha Mbalimbali
  • Matukio Mbalimbali
  • Kupata Salary slip
  • Mapato na Matumizi Oktoba -Desemba 2017
  • Taarifa ya Miradi ya Mwaka 2016/2017
  • Zabuni mbalimbali
  • Taarifa kwa umma

Viunganishi vinavyohusiana

  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira Serikalini
  • NECTA
  • Tovuti ya Ikulu
  • Habari Maelezo

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Barabara ya Boma, Kahama

    Anuani ya Posta: P.O.Box 472

    Simu: +255 282710032

    Simu: +255719679464

    Barua pepe: td@kahamatc.go.tz / info@kahamatc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Mji wa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa