Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kahama, Ndg. Anderson D. Msumba, anawatangazia wananchi wote wa Mji wa Kahama kushiriki katika kampeni ya Usafi wa Mazingira katika maeneo yetu Kila Jumamosi ya Pili ya Mwezi (Kwa agizo la Mkuu wa Wilaya) na Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi (Kwa agizo la Rais).
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa