Sasa mtumishi unaweza kupata taarifa zako za kiutumishi na za kifedha (Salary slip) kupitia mtandao wa "Watumishi Portal". unachotakiwa ni kuingi kwenye Link hii hapa Watumishi Portal Kisha jaza taarifa zako ili kufungua akaunti yako itakayokuwezesha kuapata taarifa.
Karibu
Barabara ya Boma, Kahama
Anuani ya Posta: P.O.Box 472
Simu: +255 282710032
Simu: +255719679464
Barua pepe: md@kahamamc.go.tz / info@kahamamc.go.tz
Hakimiliki©2017. Halmashauri ya Manispaa Kahama. Haki zote zimehifadhiwa