Imewekwa: December 1st, 2019
Halmashauri ya Mji wa Kahama imeadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa kutoa mafunzo kwa watumishi na wadau wanaotekeleza afua za UKIMWI juu ya upimaji mpya wa Index. Upimaji wa Index ni Upimaji wa kumd...
Imewekwa: November 27th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mapema leo amesalimiana na Wana Kahama waliojitokeza Barabarani kumlaki.
Mhe. Rais amepata fursa ya kusikiliza kero za wananchi...
Imewekwa: November 6th, 2019
Viongozi wa Mkoa wa Shinyanga wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Zainab Tellack wamefanya ziara ya kikazi kwenye Ofisi za Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji nchini Tanzania maarufu 'EPZA' iliyopo ji...